Lyrics Lyrics | Harmonize – Kwa Ngwaru ft Diamond Platnumz (New Lyrics)

Lyrics | Harmonize – Kwa Ngwaru ft Diamond Platnumz (New Lyrics)

Download Harmonize – Kwa Ngwaru ft Diamond Platnumz Mp3

[Verse 1: Harmonize
Mh! I wish ningekuwaga na mavumba, Mkwanja manoti ni kuhonge vya dhamani,
Ama niwefundi wa kuigiza ka-Kanumba, Masanja Joti usiwembali nami,
Mh! my darlin i need your Love Oh, uwe nami hakia Mungu nakupenda,
No body Can show you Love Oh, Usiwaamini, ukishawapa wanakwenda,

[Pre-hook: Harmonize]
Oh basi jilegeze nikubebe mgongoni (Iyelewi),
Deka nikudekeze nikutunze kama mboni (Iyelewi),
Wakija wapoteze jifanye kama hauwaoni (Iyelewi),
Kisha uniongeze ulivyo funzwaunyagoni (Iyelewi),

[Hook: Harmonize]
Oh baby asa dance nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Ululufemi (Kwa ngwalu),
Oh baby asa cheza nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Basi cheza na mimi (Kwa ngwalu),

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Aga moyo wangu muarobaini, mchungu ukiuziwa,
Samehe mara sabini, huo uzungu sijajaliwa,
Ungependa juu ama chini, kwenye uvungu uparemiwa,
Kumbatie ubaridini, kwenye tundu kama njiwa,
Moyo wangu ni wamakuti usinijie na kiberiti (Asa wee),
Penzi likageuka chuki nyumba ikawa kibiti (Asa wee),
nipatie vya kitandani nipe mpaka kwenye kiti (Asa wee),
ili asiniingie shetani nawe nikaja kuku-cheat,

[Pre-hook: Diamond Platnumz]
Oh basi jilegeze nikubebe mgongoni (Iyelewi),
Kitandani nikoleze kwa miuno ya kingoni (Iyelewi),
Kisha nibembeleze nirudishe utotoni (Iyelewi),
Weka mate niteleze kama nyoka pangoni (Iyelewi),

[Hook: Diamond Platnumz]
Oh baby asa dance kidogo (Kwa ngwalu),
ooh ubanwe (?) (Kwa ngwalu), Ululufemi (Kwa ngwalu),
Oh baby asa cheza nikuone (Kwa ngwalu),
Uwabamijo (Kwa ngwalu), Basi cheza na mimi (Kwa ngwalu),

[Bridge: Diamond Platnumz & Harmonize]
Aga Nataka kucheza chura naingai ungesimama (ainama inama),
Asa Waonyeshe (ainama inama), unachezaje (ainama inama),
Unataka maji ya kisima na muoga kuchutama (ainama inama),
Nimuonyeshe (ainama inama), wanachotaja (ainama inama),
Unataka kupiga deki, wima umesimama (ainama inama),
Embu tuonyeshe (ainama inama), unapiga je? (ainama inama),
Siunataka vya pool table asa mbona unajibana (ainama inama),
Embu tuonyeshe (ainama inama), unalenga je? (ainama inama),

[Outro: Diamond Platnumz & Harmonize]
Ii Oya wanangu wa kigogo (ainama),
Nipe za Mose Iyobo (ainama),
Vunja vunja kidogo (ainama),
Aniongezee mikogo (ainama Inama).

Featuring    :Diamond Platnumz
Released     :29th march 2018
Producer     :Lizer Classic
Prepared by :Team Skiizat