Lyrics Lyrics: Nyashinski – Bebi Bebi

Lyrics: Nyashinski – Bebi Bebi [New Lyrics]

[Intro]
Only you beibe, Only you beibe,You my only one, My only one.

[Verse 1]
some say a fool never change his mind well maybe,
Baby am fool for you,
mapenzi kipofu kipenda maovu.
huoni ooh love is blind never seem so true,
when am broke natumianga bro please call me,
Akipiga naomba dooh…
mbona kuna message inajitumanga send me money,
Tukate long story short yoyooo…
vumilia na mimi, please don’t leave me,
don’t let money fool you, sponsors just wanna use you…
Namwambia mtoto wa mama hasiharibikeee
Powered by skiizat.com, prepared by Turbin,
Ananishoo ni biasharaa tuu,
Na siwezi mshibishaa na pangangaa tuuu,
Na mwezi ukiisha Sina ujanja too,
Na renti ikibishwa huanga blunder (wuwuwuwuuu),

[Chorus]
Bebi (Bebi) Bebi  Kwani me wakati Sina,
Leo Sina kitu kesho nitafanikiwa (Uhuuuu),
Na nikibarikiwa,
Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh!,
Bebi me wakati Sina. Leo Sina Kitu kesho nitafanikiwa  (Uhuu),
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka na weweweh!,
Only you beibe, Only you beibe, You’re my only one, My only one,

[Verse: 2]
Girl I wanna, girl I wanna, girl I wanna take you to my mama,
show her you’re the one for me,
I’ll never ever, never ever leave you believe me when,
I say you’ll forever be my queen.
Yule nala naye kwa dhiki, nitalala naye Kwa faraja,
Ahadi yangu ndio hiyo!.
Kama pamoja tumelia, tutacheka pamoja (Aaaahaa),
Wou vumilia na mimi please don’t leave me,
Don’t let the money fool you Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike (Ye heheeheeeeeyeee!),

[Chorus]
Bebi (Bebi) Bebi  Kwani me wakati Sina,
Leo Sina kitu kesho nitafanikiwa (Uhuuu),
Na nikibarikiwa,
Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh!,
Powered by skiizat.com, prepared by Turbin,
Bebi me wakati Sina. Leo Sina Kitu kesho ntafanikiwa  (Uhuu),
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka n a weweweh!,
Only you beibe (ye ye ye ye, ye ye ye ye) mahali nimetoka na weweweweee,
Only you beibe, Only you beibe, My only one.

[Bridge]
Ok! sawa naicheza ka bubu, bebi normal talk just do,
We mtumu kama ubuyu, ujawai kuwa chini uko juu,
Forever you’ll be my only one, tukiachana itaniuma Na,
Jua kuna nigger anangoja nichome aruke ndani ka superstar,
Usiache i-happen!.
Ishikilie ka-siri, ki-make it life then,
Kushikilie pia mimi,
You make me oh bebi don’t let me go stay beside me,
You make me complete, how will my heart beat without you,

[Chorus]
Bebi (Bebi) Bebi  Kwani me wakati Sina,
Leo Sina kitu kesho ni tafanikiwa (Uhuuuu),
Na nikibarikiwa,
Ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na weh!,
Bebi me wakati Sina. Leo Sina Kitu kesho ntafanikiwa  (Uhuu),
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka n a weweweh!,

CLICK HERE TO DOWNLOAD THIS AUDIO