Lyrics New Lyrics: Ruby – Baby (Aslay Cover)

New Lyrics: Ruby – Baby (Aslay Cover) [New Lyrics]

Intro
Abba!

[Verse 1]
Basi zima simu yako ukiwa na mimi,
Nimeshakuwa mke wako hasira za nini,
Tena upunguze vituko tukiwa chumbani,
Mi ndio shuga mamy wako niliokuweka ndani,

[Pre – Chorus]
Eeee Ya!
Habari zako nazipataga, nabaki tu mi naumia,
Unanitukana ukilewaga, sina kitu nakuzingua,
Natamani ningekumwaga, ila siwezi nitaumia,
Punguza vituko basi we baba tupate raha ya dunia,

[Chorus]
Baby basi tuliza yangu nafsi,
tuache utoto basi tuende na wakati,
Baby basi tuliza yangu nafsi,
tuache utoto basi tuende na wakati,

[Verse 2]
Heeee!
Kikubwa heshima,najua siwezi kuwa peke yangu,
Tunza langu jina baba, na uwaogope marafiki zangu,
Nakupenda sana hautaki kubadilika wewe mwenzangu,
Unaninyanyasa sana kisa nalilinda hili penzi,

[Bridge]
Ogopa maradhi tusije tukazikwa mapema,
Utanisamehe kama ninakosea kosea,

[Pre – Chorus]
Habari zako nazipataga, nabaki tu mi naumia,
Unanitukana ukilewaga, sina (hehehehehehe),
Natamani ningekumwaga, ila siwezi nitaumia,
Punguza vituko basi we baba tupate raha,

[Chorus]
Baby basi tuliza yangu nafsi,
tuache utoto basi tuende na wakati,
Baby basi tuliza yangu nafsi,
tuache utoto basi tuende na wakati,
Baby basi tuliza yangu(hooooo!)

[Outro]
Mama wololooo wolooo(wololo),
Mapenzi yamekaba koo, kaba koo(kaba koo),
Yanataka kunitoa roho, toa roho(mhmmmm),
Kamoyo kako mbio mbio, mbio mbio(eeeeh),
wololooo loloo(wowowowowo),
Mapenzi yamekaba koo, kaba koo(ahahaa),
Yanataka kunitoa roho, toa roho(eeeeh),
Kamoyo kako mbio mbio, mbio mbio,
Baby basi, utaniumiza (Baby basi) mwenzako,
(Beibi bi bi bi bi biiiii), Beibi bi bi bi bi biiiii,
beibe beeeeee,
Oh! baby basi (mmmmmmmm),
Eh! baby basi, beibe beeeeee,

CLICK HERE TO DOWNLOAD THIS TRACK!

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here