Lyrics Lyrics: Ben Pol – Bado Kidogo Ft. Wyse

Lyrics: Ben Pol – Bado Kidogo Ft. Wyse[NEW Lyrics]

[Verse 1: Ben Pol]
Walimwengu wakubeza, Na wengine wakucheka,
Mwelekeo umepoteza, Hata mbele huoni tena,
Nyumbani njaa kali, Kazini tafrani,
Benki una deni, Biashara imefeli,

[Pre – Chorus: Ben Pol]
Na watu hawajui, Mangapi yanayokukabili,
Kabla ya jua kuzama, Kuna mambo mengi,
Yaliyofungwa kwako we, Yatafunguliwa,
Kabla ya jua kuzama, Utaona mengi,
Yaliyofungwa kwako we, Yatafunguliwa,

[Chorus: ]
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Usife moyo (bado kidogo),

[Verse 2: Ben Pol]
Ukifeli usijione haufai, Give thanks and praise to the most high,
Naona unavyofuta machozi wewe, Na shida unazopata ili kusonga mbele,
Hatua ziko chache ili kufika kule, Pambana usiyumbishwe na zao kelele,
Nakuona unapigania haki, Simama utashinda,

[Pre – Chorus: Ben Pol]
Na watu hawajui, Mangapi yanayokukabili,
Kabla ya jua kuzama, Kuna mambo mengi,
Yaliyofungwa kwako we, Yatafunguliwa,
Kabla ya jua kuzama, Utaona mengi,
Yaliyofungwa kwako we, Yatafunguliwa,

[Chorus:  
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Usife moyo (bado kidogo),

[Bridge: Wyse]
Usiona kama vile jua, Lakuchoma peke yako,
Usione kama vile giza, Limetanda tu kwako,

[Chorus:]
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Oh bado kidogo (bado kidogo),
Usife moyo (bado kidogo),

Click HERE to Get The Song and Click HERE to watch Video

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here