Lyrics Lyrics: Stereo – Mpe Habari (Remix)Ft. Billnas, Stamina, Jay Moo, Rich Mavocko...

Lyrics: Stereo – Mpe Habari (Remix)Ft. Billnas, Stamina, Jay Moo, Rich Mavocko & Khaligraph Jones[New Lyrics]

[Verse 1 BillNas]
Mind Your step kabla haujaanza ku-diss,
I only see you late i’m trying do like this,
To get bust like boom bro,
So wape habari mkiwa mnanyonga tungi yoo,
Oh My God,
Napiga pasi ndefu ka staiker wa middles bro,
Once upon a time i was just a little bro,
But now nimekuwa siogopi hata prison bro,
Ukizingua nazingua middle finger you,

[Verse 2: Stereo]
Ni makamuzi ya lana tangu juzi na jana,
Natikisa juzi kwa sana ni blues na Suzi na Anna,
Matanuzi ya jana marapper wanaunga flow,
Kama mchuzi wa nyama na chemical,Hatuna noma,ambia serekali,
Hakuna Roma,Tabora sio Dodoma,So Boma,
Ukizima Taa Nina Generator,Vile na ng’aa nina meremeta,
Ukichomoa nachomeka,Safi bila doa nasomeka,

[Chorus: Rich Mavoko]
We mpe habari alipojitusu mwambie kayakanyaga,yani mbona shwari,
wakijipindua twakusanya mazagazaga,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,

[Verse 3: Stamina]
Ah! I don’t see them,Nafasi yao ndogo kwenye hili game,
Kila nikitoa track mimi na-muder dem,
What the shame,mimi nataka pesa we unataka fame?,
Macho kodo A.K.A Mfalme Mswati,
Mende wadogo hawaangushi kabati hee,
Kichwa madenge shingoni manati,
sorry for this.Lyrics prepaired by skiizat.com
Wapeni habari sholo nipo ndani ya wasafi,
Acha mfuko utune pesa zichunwe,
Bata haunipi wewe asa kwanini unune?,
Nikikupa Hi usinunue,kazana ujitume,
Wenye nyota za punda njooni kwangu niwatume,

[Verse 4: Jay Moo]
Iyee! Njoo unishike mkono ma,Njoo tutoke
watuone na usiwaogope njoo unichumu kwa mdomo live,
And we should not fear no one,We should now baby,
Cheki ambavyo unanikuna daily,
Siendi nyuma mimi na skuma mbele,
All the mothers and girls wanakuonea gere,
Wanaosema wewe ni bitch wanacheza,
One men trust you,The another man treasure,
Kuja nipe kiss kisha another wanaongeza,
Na bei zao wamesha pass mimi najenga hadi kibanda,
Nimenasa,
we mpe habari na sasa nataka nimpe funguo ya gari,
Zaidi mkiongea namtolea posa mwali,
Jisi nilivyo kolea na huyu shori (Famous),

[Chorus: Rich Mavoko]
We mpe habari alipojitusu mwambie kayakanyaga,yani mbona shwari,
wakijipindua twakusanya mazagazaga,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,

[Verse 5: Khaligraph Jones]
I Don’t fear man,Even thow i was born in here man,
Ukikosa form mi nakutupia plan,
Khaligraph Jones in your ear drum sikia son,
Sitaki pressure za watu hali ikiwa ngumu hata kwa mkeka nitakaa tu,
Me hukesha kama fyatu,Og nataka iyo doo nigger pesa madafu,
Me ni boss lazima nivae suit,Jue swagger hamtoshi hata minikae uchi,
Ume-buy Gucci,Aje na sio wote tunajua umesota nigger minimize chuki,
Mi ni smart for start sio bad to the matter i’m bad me ni shutter hatari,
and i’m straight toka Gata Mi casa sucasa sio brother we wape habari,

[Chorus: Rich Mavoko]
We mpe habari alipojitusu mwambie kayakanyaga,yani mbona shwari,
wakijipindua twakusanya mazagazaga,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,yule demu alijitusu kwa savana,
Nilipo M-force akabana,

Click here for official audio and click  Here for remix audio

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here