Lyrics Lyrics: Baraka The Prince – Sometimes

Lyrics: Baraka The Prince – Sometimes[New Lyrics]

[Intro]
T ongeza sauti kidogo Mmmh
Na Mr.T Tanzania(Touch)
{Bana….}

[verse 1]
Mateso ni moja yaliyo mapito yangu,
Maumivu ni moja kati yangazi zangu,
Na hayazui macho kupenda yakipenda,
Halafu haikomi roho hata kama ilitendwa,
Najua hauamini nakupenda……………,
Nisicho pinga mimi nakupenda……….,
Mwenzio ninachoamini nakupenda……..,
Sibishani na roho silipingi hilo,

[Pre-Chorus]
Nagombo hagombo hainya hee,
Hateli hateli ndalawa hee,
Mondine mondine mama wangee,
Naukinio mama…………….,
Legombo hagombo hainya hee,
Hateli hateli ndalawa hee,
Mondine mondine nenyiteliwahee,
Naukinio mama…………….,
(Uwoohoo)

[Chorus]
Sometimes I miss you(Ooh Mama),
Sometimes I miss you(Kipenzi changu),
Sometimes I miss you(Kitinda tinda cha roho),
Sometimes I miss you,
Sometimes I miss you(Sometimes mama),
Sometimes I miss you(eheeeee),

[Verse 2]
Ulinipeleka race ikafa break maskini roho yangu,
Bado haijwa late naomba ikutouch utakapoona chozi langu,
Popote ilipo kama iwe tv au redioni ukinisikia,
Kwamboni zangu mama mara nyingi picha zako hunirudia,
Naninacho amini nakupenda sana japo hukuthamini,
Prepeared by Turbin from skiizat.com,
Kwangu ukaondoka we hee,
Mi masikini roho yangu,ikahisi kufa kwa matendo yale,
kutokuwa na busara kwa penzi langu,
Ukanihukumu na wangu upole,
Ila popote ulipo jua heee,

[Chorus]
Sometimes I miss you(Ooh Mama),
Sometimes I miss you(Kipenzi changu),
Sometimes I miss you(usingizi niwe mchana au usiku),
Sometimes I miss you(Oh Jamani),
Sometimes I miss you(wewe ndio ugonjwa wangu),
Sometimes I miss you(we kilicho kisugua roho),

[Bridge]
Na ukisikia imetoka nafsi yangu(sababu ni wewe),
Jua(Sababu ni wewe),Oh Mama(Sababu ni wewe),
Na umeifanya pombe iwe pacha kwangu(Chanzo ni wewe),
Cha kulewa(chanzo ni wewe),Jua(Chanzo ni wewe),

[Outro]
Heeeyeiyeeeeiye…….,Hiiiiiiiiye……..,
Oh chanzo ni wewe(iyeeeeiye),Hiiiiiiii,
Na ukisikia imetoka nafsi yangu,
Jua(Oh Mama),
Na umeifanya pombe iwe pacha kwangu,
Cha kulewa

If you don’t have this song click HERE to download It

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here