Lyrics Lyrics: Aslay – Natamba

Lyrics: Aslay – Natamba[New Lyrics]

If you Don’t have this song click here to download or click here to stream video from youtube.

[Intro]
Natamba,Natamba Aaa

[Verse 1]
Kilicho nishawishi upole wako,na heshima yako,
wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako,
Sura yako ya upole,inanivutia,
Shepu Twiga mwenda pole,najivunia,
Oh tupeane mapenzi iwachome(Eeee),
Nakama namba waisome(Eeee),
Hata tukigombana wasione(Eeee),
Washike jembe wakalime(Eeee),
Mapenzi mazuri wakutane wawili wanaopendana,
Usizidishe washauri,watasababisha tuje kugombana,

[Chorus]
Aaaaae! angalia shepu,Aaaaae! Ka-Wema Sepetu,
Aaaaae! Angalia jicho,Aaaaae! Hamissa Mobetto,
Aaaaae! Karangi kake,Aaaaae! Elizabeth Michael,
Aaaaae! Yani we mrembo,Aaaaae! Walah nachukua jiko,
We ndio wangu wa milele,

[Verse 2]
Nauza dagaa,ili ninunue motorcar nikuridhishe,
Unanipa furaha,na nguvu ya kusaka chapaa nisikuangushe,
Unanyota ya Adam na Hawa(Ohooo),Tunavyopendana,
Hata wakituchukia ni sawa (Ohooo),Tuaminie Mama,
Wanaona umenipa dawa (Ohooo),wanaongea sana,
Chunga usije kuota mbawa (Ohooo),Ukaniachaga ilema,
Katabiri pweza penzi litafika mbali,Nacheka kiingerza,
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali,Mh Jamani,
Katabiri pweza penzi litafika mbali,Kwakweli hamtoweza,
Ndio maana nacheza ya watu natupia mbali,
Basi baby nikumbatie mama

[Chorus]
Aaaaae! angalia shepu,Aaaaae! Ka-Wema Sepetu,
Aaaaae! Angalia jicho,Aaaaae! Hamissa Mobetto,
Aaaaae! Karangi kake,Aaaaae! Elizabeth Michael,
Aaaaae! Yani we mrembo,Aaaaae! Walah nachukua jiko,
We ndio wangu wa milele,

19 COMMENTS

  1. ASLAY,YAANI UNATEXA 4 XURE NIKIXKIA HUO WIMBO HUA N A 4LE IN LOVE WALAI.ASLAY YAANI UNAWEZA KANYAGIA PAPO HAPO.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here