Lyrics Chin Bees – KabaPaYee(Remix) Ft. Khaligraph Jones

Chin Bees – KabaPaYee(Remix) Ft. Khaligraph Jones[New Lyrics]

[Intro: Khaligraph Jones & Chin Bees]
Ladys and gentle man is the remix out here kababaye,
Got the OG

Kababaye(kababaye they call me kababaye),
Kababaye(They call me kababaye),
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,(Hey)

[Chorus: Chin Bees]
Kababaye. They call me kababaye,
Kababaye. They call me kababaye,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kababaye. They call me kababaye,
Kababaye. They call me kababaye,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,

[Verse 1: Khaligraph Jones]
Sitaki traffic in my way eey, Where is my money we ni pay eeey,
Harakati za kusaka ganji paka paparazzi wana hate eey, Hawataki si tu play wee,
They aint happy wuth the waves eey, but nachapa kazi we ukikata maji,
Me ndo baba mzazi mi na save eeey Vile wanataka waseme,
kama una shida basi zusha,
Biashara imeleta mapene, Mapene imeleta vipusa,
Hater si lazima unipende, Sijali ukitaka we kufa,
Nime come na kikosi ya Wanene kababayee juu ya beats za Luffa,
Chin Bees vipi where am from me nimekalia kiti,
ju we ni kababayee na Mimi ni Papa Jones so tukiamua tunaweza kuongoza hii nchi,
Kila siku niko pimping na na Binti nigga F what you thinking,
Wale walithani tutazama wamekula uju Tuko juu ain’t no way that we sinking,
K Jones in the building,
Ain’t no playing around we gotta kill them, We making dollars and pounds,
We the hottest around and I’ll be taking the crown ju me ndo kingpin down on a remix,
Y’all know am the real G,
They call me kababayee you feel me It’s a murder case kesheni mazishi,
so go ahead and talk to them Chin Bees,

[Chorus: Chin Bees]
Kababaye. They call me kababaye,
Kababaye. They call me kababaye,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kababaye. They call me kababaye,
Kababaye. They call me kababaye,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,
Kama zing’aumbwe nigger kama mazing’aumbwe nigger,

[Verse 2: Chin Bees]
Napiga zig zagaa… Nawasugua ka gagaa,
Hauzezi kubattle na bees,Uwezo uko chini ka chaga,
Kama ng’ombe nawaswaga Engle zangu wataga,
nawachezesha ka ragga…ragga ragga ragga ragga,
Check wanashuka bei… Style zao zaki reee,
I get no time to play ….. Haters get of ma way,
Beesgang on top aye macho mbele kwenye pay,
Daily nawaoverlap, Njia zangu hawatembei,
Njia zangu hawasogei,Japo niggaz wana hate,
Root ndefu pumzi fuupi, Nikipita hawangojei aye,
Niko na papa jones, Twazidi tembeza dose,
Fake rappa kila course, Fake rappa kula course,
Niko na papa jones, Twazidi tembeza dose,
Fake rappa kila course, Fake rappa kula course,

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here