Lyrics Mashairi ya wimbo wa Rich mavoko_ibaki stori

Mashairi ya wimbo wa Rich mavoko_ibaki stori


 (verse 1)
matapishi ni kinyaa
huwezi kurudisha tena kwenye kinywa
japo mengi ulisema
kama nuru ghafla ukazima
ikawa ngumu kukusahau
nikasema moyo ukome
kwa kali sumu na madharau
penzi ulivunja na ngome

 (Pre-churus)
na unajua hata nikilia
siwezi kutokwa na machozi
we lolifanya macho yangu
nione wengi waongo
a ukaudhulumu moyo wangu
uliuza penzi kwa magendo
leo unatamani wewe
kurudia zamani hiyo ni ndoto
we ulinirubuni kwa penzi la kidali kama mtoto

(chorus)
mi na wewe acha ibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe  achaibaki stori mi na wewe
mi na wewe achaibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe  achaibaki stori mi na wewe

(verse 2)
kiliniumiza kitanda na shuka tuliolalia
mapenzi yana siri kubwa
usishangae mtu akilia
nimekubali mboni zangu
zimtazame mwingine
maridhia ya moyo wangu
huenda sio fungu pengine
chakushangaza hadharini
mengi ya kuficha ukaweka wazi
nikahisi sijui mapenzi labda kwako sinogi nazi

 (Pre-churus)
na unajua hata nikilia
siwezi kutokwa na machozi
we lolifanya macho yangu
nione wengi waongo
a ukaudhulumu moyo wangu
uliuza penzi kwa magendo
leo unatamani wewe
kurudia zamani hiyo ni ndoto
we ulinirubuni kwa penzi la kidali kama mtoto

(chorus)
mi na wewe acha ibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe  achaibaki stori mi na wewe
mi na wewe achaibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe  achaibaki stori mi na wewe

 

                                                         (Bridge)

yalinitesa mazoea ah
lakini minishazoea mwaya
ilatambua mapenzi mabaya
kidonda chake hakinaga dawa
E mazoea ah
lakini minimeshazoea  mwaya
ilatambua mapenzi mabaya
kidonda chake hakinaga dawa

(chorus)
mi na wewe acha ibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe ooi ooo
mi na wewe acha ibaki stori mi na we
mapenzi mi na wewe ooi ooo

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here